MKUU WA MKOA TANGA ACHANGIA SARUJI KWA AJILI YA UKARABATI WA JENGO LA CLUB YA WAANDISHI WA HABARI TANGA..


Katibu wa Club ya waandishi wa habari Tanga Bi. Lulu George akimpokea  Mhe. Chiku Gallawa


Mkuu wa Mkoa wa Tanga aliyefika  katika Ofisi ya Club hiyo kwa ajili ya kukabidhi msaada wa mifuko 21 yenye thamani ya sh 300,000 ( Laki tatu)  ikiwa ni jitihada yake ya kutambua mchango wa vyombo vya habari katika kuharakisha maendeleo ya Mkoa wa Tanga.



Mhe. Chiku Gallawa akikabidhi saruji kwa mwenyekiti wa Club hiyo Bw. Hassan Hashim kwa niaba ya Club .


Baadhi ya wanachama wa Club ya waandishi Tanga katika makabidhiano hayo.


Written by

0 comments: