KATIBU TAWALA MSAIDIZI MKOA WA TANGA AWAASA WAHITIMU MAHAFARI YA 19 YA CHUO CHA UALIMU ECKERNFORDE.






Bi. Monica Kinara, Katibu Tawala Msaidizi upande wa Miundo Mbinu akiwa mgeni rasmi katika mahafari hayo akitoa hotuba kwa wahitimu wa ngazi ya cheti na stashahada katika sherehe za maafari ya 19 ya chuo cha Eckenford yaliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa chuo hicho aliwataka  wahitimu  kujiendeleza zaidi  kielimu ili kukabiliana na changamoto za ajira nchini.



Ngoma ya asili  kutoka katika kikundi cha “Mapambano  Ngoma Group” ikitumbuiza kwenye mahafari hayo.



Mkuu wa  chuo cha ualimu Eckenford Bw. Dominick Kato alimkabithi Bi Monica Kinara ripoti juu ya mafanikio na changamoto katika taasisi hiyo.



Wahitimu wa ngazi ya cheti na stashahada  katika mahafali hayo.


Written by

0 comments: