Mkuu Mpya wa Mkoa wa Tanga akabidhiwa Rasmi

       Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Magalula Saidi Magalula ( kushoto)  akipokea taarifa ya makabidhiano ya Mkoa wa Tanga kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Dk. Rajabu Rutengwe aliyeshika wadhifa huo kwa muda usiozidi mwezi mmoja. Katikakati ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga  Mhe. Chiku Gallawa  kabla ya kuteuliwa Mhe. Dk. Rutengwe. Anayeangalia (kulia) ni Katibu Tawala Mkoa Bw. Salum Mohamed Chima ( Alhaji)
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi taarifa ya makabidhiano kwa Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Dk. Rajabu Rutegwe 
 Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Magalula Saidi Magalula akisaini kitabu cha wageni mapema leo mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Mhe. Magalula akisalimia wakati wa mapokezi
 
Waliokuwa Wakuu wa Mkoa wa Tanga wakisaini taarifa ya makabidhiano
 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Magalula Saidi Magalula (kushoto) na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Dk. Rajabu Rutengwe wakisaini taarifa ya Makabidhiano  
Baadhi ya Watumishi  kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mashirika ya umma na Binafsi na Taasisi za Serikali na Viongozi wa dini na Viongozi wa Vyama vya Siasa 











Written by

0 comments: