MAANDALIZI YA UZINDUZI WA BARABARA TANGA-HOROHORO
Mhe. Chiku Gallawa ,Mkuu wa mkoa wa Tanga akiwa ofisini kwake akifanya mkutano
na waandishi wa habari juu ya Ujio wa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete , Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania ambaye amepewa heshima ya kuwa mgeni rasmi katika
ufunguzi wa Barabara ya Tanga- Horohoro tarehe 13/04/2013 katika viwanja vya Kasera
wilayani Mkinga inapojengwa stendi ya mabasi makubwa na madogo.
PRESS RELEASE DOCUMENT
Press Release by mkoatanga
hongereni
ReplyDelete