WANANCHI TUTHAMINI BARABARA ZETU
Mifugo hii ilikutwa ikipitishwa
barabarani katika eneo la Mzambarauni wilayani Mkinga na wafugaji bila hata
woga wowote. Serikali imeshatoa mwongozo wa kusafirisha mifugo kwa usafiri
maalumu aidha kwa njia ya malori endapo
mifugo itatakiwa kuhama kutoka eneo moja hadi lingine. Mmiliki wa mifugo
alikuwa akisafirisha mifugo hiyo kutoka wilaya ya Mkinga kuhamia Wilaya ya Pangani
0 comments: