BARABARA YA TANGA - HOROHORO YAFUNGULIWA RASMI
Mhe. Dkt . Jakaya Mrisho
Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokelewa na mwenyeji wake Luteni mstaafu Mhe. Chiku Gallawa, Mkuu wa Mkoa
wa Tanga katika uwanja wa ndege wa Tanga . Dkt kikwete amewasili Mkoani Tanga kwa ajili ya
ufunguzi wa barabara ya Tanga – Horohoro yenye urefu wa kilometa 65 na
imejengwa kwa ufadhili wa nchi ya Marekani kupitia mradi wake wa Millenium
Challenge Corporation kwa kushirikiana na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.
Mhe. Chiku Gallawa akimwongoza mgeni wake
kusalimiana na wananchi.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika eneo la Kasera kushuhudia ufunguzi wa
barabara ya Tanga- Horohoro.
Baadhi ya wananchi waliofika eneo la Kasera kushuhudia ufunguzi wa barabara ya Tanga- Horohoro. Pongwe ni mojawapo ya kata zilizokuwepo
Baadhi ya wananchi waliofika eneo la Kasera kushuhudia ufunguzi wa barabara ya Tanga- Horohoro. Maramba ni mojawapo ya tarafa zilizopo wilayani Mkinga.
Mhe. Dkt Kikwete akizindua rasmi barabara ya Tanga – Horohoro eneo la Kasera inapojengwa stendi ya mabasi makubwa na madogo Wilayani Mkinga.
0 comments: