MKUU WA MKOA TANGA ACHANGIA SARUJI KWA AJILI YA UKARABATI WA JENGO LA CLUB YA WAANDISHI WA HABARI TANGA..
Katibu
wa Club ya waandishi wa habari Tanga Bi. Lulu George akimpokea Mhe. Chiku Gallawa
Mkuu wa Mkoa wa Tanga aliyefika katika Ofisi ya Club hiyo kwa ajili ya
kukabidhi msaada wa mifuko 21 yenye thamani ya sh 300,000 ( Laki tatu) ikiwa ni jitihada yake ya kutambua mchango wa
vyombo vya habari katika kuharakisha maendeleo ya Mkoa wa Tanga.
Mhe. Chiku Gallawa akikabidhi saruji kwa mwenyekiti wa Club
hiyo Bw. Hassan Hashim kwa niaba ya Club .
Baadhi
ya wanachama wa Club ya waandishi Tanga katika makabidhiano hayo.
0 comments: