JICA YATOA MSAADA WA PIKIPIKI KWA AJILI YA KUENDELEZA KILIMO MKOANI TANGA.
Pikipiki tisa ( 9) zenye thamani ya million tisini zimetolewa na Shirika la Misaada iliyotolewa na shirika
la Japani international Cooperation Agency
( JICA) mahususi kwa uboreshaji wa mipango na utekelezaji wa program ya
uendelezaji wa Sekta ya kilimo (ASDP).
Kaimu
katibu tawala msaidizi ( uchumi na uzalishaji) Bw. Hassan Kalombo akitoa
taarifa fupi juu ya mradi huu ambao una lengo la kuhuisha mfumo wa fuatiliaji
na tathmini ya shughuli za kilimo.
RC
Tanga Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi DC Tanga Mhe. Halima Dendego ambaye amewakilisha wakuu wa wilaya za Tanga na
Halmashauri zinazonufaika na mradi huo ambazo ni Tanga jiji, Korogwe Mji, Korogwe
Halmashauri, Pangani, Mkinga, Muheza, Lushoto Kilindi na Handeni.
0 comments: