Hongera Timu ya RAS Tanga
Timu ya Mkoa wa Tanga imeanza
mashindano ya Shimiwi kwa kuonyesha mafanikio. Tunapenda kuwapongeza timu ya
mpira wa miguu wanaume kwa kuitandika timu ya Wizara ya Viwanda na Biashara bao
1-0 katika mashindano ya Shimiwi ambayo yanafanyika
Dodoma kitaifa,Timu ya Mkoa wa Tanga inashiriki katika mashindano hayo ikiwemo Mpira wa miguu wanawake na wanaume,
Riadha,Tufe,kuvuta kamba (wanawake)na michezo ya ndani(Karata na Bao) Tunawatakia kila raheri katika uwakilishi wa Mkoa wetu wa Tanga.
Wanatimu ya RAS Tanga walipokuwa katika Ofisi za Mkoa wa Tanga tayari
kuelekea kwenye mashindano Mkoani Dodoma mapema mwanzo wa wiki hii
0 comments: