Mapokezi ya Waziri Mkuu Mkoani Tanga
Mhe.
Peter Kayanza Pinda , Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwasili
katika Mkoa wa Tanga kwa ajili ya Kongano la Uwekezaji Kanda ya Kaskazini
litakalofanyika Septemba 26-27 mwaka huu. Mara baada ya mapokezi Mhe. Pinda atapokea taarifa ya maendeleo ya Mkoa wa Tanga katika ukumbi wa mikutano ya Tanga beach Resort.
Mhe.
Pinda akisalimiana na Katibu Tawala Mkoa
wa Tanga Bw. Benedict Ole Kuyan. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku
Gallawa
Mhe.
Pinda akisalimiana na Viongozi wa ngazi
za juu katika Mkoa wa Tanga
Burudani
mbalimbali
0 comments: