Leo Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa anakutana na Waandishi wa Habari Dar es salaam

Mhe. Chiku Gallawa pamoja na Wakuu wa Mikoa ya Arusha , Manyara na Kilimanjaro wanategemea kuwa na mkutano na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali Tanzania leo saa 4.00 Asubuhi katika Ukumbi wa TIC (Tanzania Investment Centre) jijini Dar es salaam kwa ajili ya kutambulisha Jukwaa la Uwekezaji linalotegemewa kufanyika katika Mkoa wa Tanga Septemba 26-27 mwaka huu.




Written by

0 comments: