Patashika Bonanza la Michezo, Ras Tanga Michezo Club Kuchuana na Wadau wa Maendeleo Mkoani Tanga Jumamosi Hii
Ras Tanga Michezo Club imeandaa Bonanza la Michezo
Siku: Jumamosi tarehe 21/06/2014
Uwanja: Viwanja vya Popatlal
Muda: saa 1:30 asubuhi
Michezo: Mpira wa miguu
Mpira wa pete (netbal)
RiadhaKuvuta kamba
Kucheza draft
Kufukuza kuku.
Washiriki:
Ras Tanga Michezo Klabu
● Mandingo Vetereni
● Tanga Middle Age Veterani
● Bandari
● NMB
● TANESCO
● TIGO
● Magereza veterani
● Polisi jamii
● Halmashauri ya Jiji
● Pembe flour mills
● Zantel
● Tanga fresh
● CRDB
● Breeze FM
● Radio Mwambao
● Tanga uwasa
● Exim bank
● Bima ya afya
Michezo ni amani, furaha na michezo hudumisha mahusiano mema.
karibuni sana
0 comments: