Waziri Mgimwa Akutana Na Mkuu Wa Mkoa Wa Tanga Utatuzi Wa Mgogoro Wa Ardhi Hifadhi Ya Taifa Mkomazi
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utalii Mhe. Mahmood Mgimwa na ujumbe wake
wakiwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa kwa Ziara ya kutembelea
kijiji cha Kimuni Kata ya Mwakijembe Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga kusikiliza
wananchi utatuzi wa Mgogoro wa ardhi Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi.
Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Tanga Miundi mbinu, Bi Monica Kinara
akitoa taarifa ya Mgogoro wa ardhi kijiji cha Kimuni Wilayani Mkinga
Mkuu wa Mkoa Mhe. Chiku Gallawa akisisitiza jambo
Ujumbe
wa Naibu waziri, Viongozi wa Mkoa wa Tanga na Wilaya ya Mkinga
0 comments: