Mhasibu Wa Mkoa Saccos Afariki
Sekretarieti ya Mkoa wa Tanga imepokea kwa masikitiko
makubwa kifo cha mtumishi Bw. Abdurashid Sekiango ambaye alikuwa Mhasibu wa
Mkoa Saccoss Ltd kilichotokea mwishoni mwa wiki.
Marehemu Abdurashid alipata ajali ya pikipiki maeneo ya
Kange Jijini Tanga na kuzikwa kijijini kwao siku ya jumapili.
Salamu za pole ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na
watumishi wenzake.
0 comments: