Mkuu Mpya wa Mkoa wa Tanga akabidhiwa Rasmi
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga Mhe. Magalula Saidi Magalula ( kushoto) akipokea taarifa ya makabidhiano ya Mkoa wa
Tanga kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Dk. Rajabu Rutengwe
aliyeshika wadhifa huo kwa muda usiozidi mwezi mmoja. Katikakati ni aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku
Gallawa kabla ya kuteuliwa Mhe. Dk.
Rutengwe. Anayeangalia (kulia) ni Katibu Tawala Mkoa Bw. Salum Mohamed Chima (
Alhaji)
Aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi taarifa ya makabidhiano
kwa Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Dk. Rajabu Rutegwe
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga Mhe. Magalula Saidi Magalula akisaini kitabu cha wageni mapema
leo mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Mhe.
Magalula akisalimia wakati wa mapokezi
Waliokuwa Wakuu wa Mkoa wa Tanga wakisaini taarifa ya makabidhiano
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga Mhe. Magalula Saidi Magalula (kushoto) na aliyekuwa Mkuu wa
Mkoa wa Tanga Mhe. Dk. Rajabu Rutengwe wakisaini taarifa ya Makabidhiano
Baadhi
ya Watumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa
Mkoa, Mashirika ya umma na Binafsi na Taasisi za Serikali na Viongozi wa dini na
Viongozi wa Vyama vya Siasa
0 comments: