BONANZA LA MICHEZO LA WATUMISHI LAFANA.



 
       Katibu Tawala wa Mkoa Bw.Benedict Ole Kuyan akifungua rasmi bonanza la michezo katika viwanja vya shule ya sekondari ya Tanga Ufundi mwishoni mwa wiki.

   Bonanza lilianza kwa mazoezi  mbalimbali  ya viungo.

      Afisa michezo Bi. Digna Tesha akiwa na timu mojawapo katika bonanza hilo.


Written by

0 comments: