UFUNGUZI WA WIKI YA CHANJO MPYA MKOANI TANGA WILAYANI PANGANI.



     Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe. Hafsa M. Mtasiwa akimkaribisha na kumtambulisha  RC Tanga kwa wananchi ambaye amewasili wilayani humo kwa ajili ya uzinduzi wa wiki ya chanjo mpya ya kuzuia kuhara na nimonia. Kulia ni mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Pangani Bi Zabibu Shabani.
 Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Chiku Galawa akimpatia mtoto chanjo.


     Akina mama waliofika na watoto wao kwa ajili ya chanjo.



Written by

0 comments: