MAONESHO YA BIASHARA KITAIFA MKOANI TANGA: 18 MEI 2013 HADI 28 MEI 2013


 Mgeni rasmi Waziri wa Viwanda na biashara Mh. Abdallah Kigoda akiwasili Siku ya Ufunguzi (20/5/2013) kwenye viwanja vya Tangamano ambapo Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Mkoani Tanga yanafanyika.
 Mkuu wa Mkoa Tanga Mh. Chiku Galawa wa pili kulia akimuongoza Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Abdallah Kigoda wa tatu kulia, Meya wa Jiji la Tanga Mh Omari Guledi wa nne kulia na wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa Tanga Bw. Paul Bwoki na nyuma ni Makamu wa Rais wa TCCIA Tanzania Bw.Hasham Yakubu.
Mh. Abdallah Kigoda akisalimiana na Balozi mdogo wa Rwanda nchini Mh. Lambeti Sano.
 Meza Kuu ikiongozwa na Mh. Waziri wakiwa wamesimama kupokea gwaride la Jeshi la Police siku ya ufunguzi wa maonesho hayo.

 Jeshi la Police likipita kutoa heshima kwa  Meza Kuu ikiongozwa na Mh. Waziri
Mgeni Rasmi Mh. Abdallah Kigoda, Waziri wa Viwanda na Biashara akisoma Hotuba ya Ufunguzi wa Maonesho ya Biashara Kitaifa Mkoani Tanga 20/5/2013.
Makamu wa Rais wa TCCIA Tanzania Bw Hashim Yakubu akimpongeza mwakilishi wa Katani Limited walioshinda zawadi ya ufanisi katika maeneo tofauti ya Biashara. Aidha washiriki wengine walioshinda walipewa zawadi ya vikombe.


Written by

1 comment: