UKAGUZI WA MIRADI YA MABWENI YA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI BUSHIRI ILIYODHAMINIWA NA UBALOZI WA JAPAN.


Ubalozi wa Japan walisaidia Tshs 143,177,852 kwa ajili ya ujenzi wa Mabweni ya wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Bushiri iliyopo Wilayani Pangani kwa dhumuni ya kuwasaidia wanafunzi wanaoishi mbali na Shule zaidi ya kilometa 5 mpaka 20.

 Kushoto ni Programme Officer Bi. Yuka Ueoka akieleza dhumuni la ufuatiliaji wa miradi hiyo na kulia ni Afisa Elinu Wilaya Pangani Bw. Mlelwa.

 Moja ya miradi iliyotolewa na Ubalozi wa Japan.
 Katika ni Programme Officer wa Ubalozi wa Japan Bi Yuka akiwa katika ukaguzi, kushoto ni Afisa Elimu Mkoa Tanga Bw. Ramadhani Chomiola na kulia ni Mhandisi wa Wilaya Pangani Bw. Bwaya.

Vitanda vya mabweni ambavyo vimetolewa na Ubalozi wa Japan.


Written by

0 comments: