DC Mkinga afungua rasmi michezo ya UMISUMMITA Kiwilaya
Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Mhe. Mboni Mgaza akisisitiza
jambo wakati wa Ufunguzi wa michezo ya UMITASHUMTA . Kulia ni Afisa Elimu
Wilaya ya Mkinga Idara ya Elimu ya Msingi
Bw. Juma Mhina. Michezo
ilifanyika mwishoni wa wiki. Mashindano haya ni kwa ajili ya kuwatafuta wawakilishi wa mashindano ya UMISUMMITA Wilaya.
Wanamichezo wanafunzi kutoka Kata ya Maramba na Mkinga wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa Ufunguzi .
Mmoja wa Wanamichezo akipokea mpira kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Mhe. Mboni Mgaza tayari kuanza mchezo.
Timu ya Mpira wa Pete kutokaKata ya Mkinga na Maramba
wakichuana vikali kuwania uwakilishi wa Wilaya.
0 comments: