Mhe. Chiku Gallawa afuturisha wakazi wa Tanga
Baadhi ya wakazi wa Tanga wakifuturu katika hafla aliyoiandaa Mkuu wa Mkoa Mhe. Chiku Gallawa akilega kutambua nafasi na mchango wa kila Mkazi wa Tanga katika maendeleo ya Mkoa.
Mhe. Chiku Gallawa (katikati) na Mkuu wa wilaya Mhe. Halima Dendego (kushoto) wakiwa kwenye hafla hiyo
Baadhi ya viongozi wa Mkoa
Baadhi ya wakazi wa Tanga.
Mkuu wa Mkoa Mhe. Chiku Gallawa ,Mkuu wa Wilaya Mhe. Halima dendego ( kushoto kwake), Mkuu wa Magereza Mkoa wa Tanga , Editha Mallya( wa kwanza kulia) na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa , Bi Monica Kinala wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watumishi katika ofisi ya Mkoa.
0 comments: