Mkuu wa Wilaya ya Korogwe afuturisha wakazi wa Korogwe

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo amefuturisha wakazi wa Korogwe  wakiwemo Viongozi wa dini mbalimbali, Viongozi wa siasa na makundi mbalimbali mengineyo bila kujali kabila kwa lengo la kumshukuru mwenyeji Mungu  na pia kutambua nafasi za wakazi wake katika jamii.

Mhe. Mrisho Gambo (katikati) akishiriki chakula cha pamoja na wakazi wa Korogwe

Mbunge wa Korogwe vijijini Mhe. Steven Ngonyani Majimarefu ( kushoto) akiwa na wakazi wa Korogwe.

Viongozi wa dini na wadau mbalimbali

Mke wa Mkuu wa Mkuu wa Wilaya Bi. Magret Muro (kushoto)
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa wakati akiwa kwenye ziara ya kikazi Korogwe alifanikiwa kuungana na wakazi wa Korogwe katika kufuturu. Pichani akitoa shukurani.
Mhe. Mrisho Gambo akitoa neno la shukurani

Mwisho ilifanyika Sala ya kumshukuru Mwenyezi Mungu na kumwombea Rais wa Jamhuri wa Muungan wa Tanzania na Tanzania kudumisha Amani . Pichani (kulia) Mhe. Mrisho Gambo na kulia kwake ni Mhe.Majid Mwanga ,Mkuu wa Wilaya ya Lushoto.



Written by

0 comments: