Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani Mkoani Tanga
Vijana wakiwa kwenye maandamano kusherehekea siku ya vijana duniani ambayo
hufanyika kila tarehe 12 Agosti . Maadhimisho haya ni ya kwanza Mkoani Tanga
Kaimu Katibu
Tawala wa Mkoa wa Tanga Bi. Monica Kinara ambaye ni mgeni
rasmi katika maadhimisho hayo akiongea na vijana juu ya umuhimu wao katika
jamii
Mtaalamu wa wa
viungo visaidizi na viungo bandia Bw. Richard Mbawala kutoka shirika Y.D.C.P ( Youth with Disability Community
program) linaloendeshwa na kanisa la Free Pentecostal Church of Tanzania
akimwelezea Mgeni Rasmi shughuli zao
Mwanafunzi Yona
Kishosha wa mwaka wa pili kutoka shule
ya ufundi VETA katika fani ya unyoshaji wa bodi za
gari akionyesha moja ya vifaa vya magari
Baadhi ya bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na vijana
wajasiriamali kutoka sehemu mbalimbali za Tanga.
Kundi la burudani liitwalo Msisimko group likitumbuiza
kwa igizo
Kundi la Muziki wa kizazi kipya liitwalo Nguvumali group likitumbuiza kwenye
maadhimisho hayo
0 comments: