Mkurugenzi wa Vijana Taifa atoa Semina kwa Vijana Mkoani Tanga.
Profesa Elisante Ole Gabriel, Mkurugenzi wa Maendeleo
ya Vijana Taifa akiwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa mara
baada ya kuwasili mkoani hapa kwa ajili ya semina ya vijana
Mgeni rasmi Bw. Ramadhani Kaswa, Mkuu wa kitengo cha Mipango katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa akifungua semina
hiyo. Bw. Kaswa amemwakilisha Katibu Tawala Mkoa.
Profesa Elisante Ole Gabriel akitoa semina
Kaimu Afisa Vijana Mkoa wa Tanga Bi Digna Tesha akiteta
jambo wakati wa semina
Baadhi ya vijana waliohudhuria semina. Ni Maafisa vijana na vijana wa wenye umri wa
miaka 15 hadi 35 kutoka Halmashauri zote mkoani Tanga
Kaimu Katibu Tawala Bi. Monica Kinara akipokea risala
ya vijana kutoka kwa mwakilishilishi wa Vijana
0 comments: