Benki ya Posta Tanzania Yakabidhi Msaada wa Pikipiki Kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Kusaidia Usafi wa Mazingira
Mhe.Chiku
Gallawa, Mkuu wa Mkoa wa Tanga (Kulia) akipokea funguo ya pikipiki kutoka kwa
Mwakilishi wa Benki ya Posta Tanzania Bi. Emma Douglas kwa ajili ya kusaidia
usafi wa mazingira katika Jiji la Tanga. Pikipiki hiyo imegharimu kiasi cha
shilingi millioni nne.
Pikipiki ambayo itasaidia usafi wa mazingira
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa akiiwasha
pikipiki mara baada ya kukabidhiwa
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania tawi la Tanga wakiwa katika picha ya
Pamoja na Mhe. Chiku Gallawa na Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Bi.Juliana
Malange ( wa tatu kulia)
0 comments: