Kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Tanga
Mwenyekiti wa kikao cha
bodi ya barabara Mhe. Chiku Gallawa, Mkuu wa Mkoa wa Tanga akifungua rasmi cha kikao cha Bodi ya barabara ya Mkoa wa Tanga mapema asubuhi ya leo.Wajumbe wa bodi ya
barabara ya Mkoa wa Tanga wamekutana leo katika ukumbi wa mikutano wa Mkuu wa
Mkoa kujadili maendeleo ya Mkoa kwa ajili ya kuboresha barabara na pia ujenzi
wa barabara ambazo bado hajizajengwa. Kikao hiki ni kikao cha pili kwa Mwaka wa
fedha 2012/2013
Meneja wa TANROADS Eng.
Alfred Ndumbaro akitoa taarifa maalumu ya maendeleo ya barabara za Tanga
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lushoto Bw. Lucas
Shemndolwa akijibu hoja ya utekelezaji wa ujenzi wa Barabara katika Wilaya ya
Lushoto
Baadhi ya wajumbe wa Kikao
cha bodi ya barabara mkoa wa Tanga
0 comments: