TANGAZO LA MKUTANO WA WANAFUNZI NA WATUMISHI WALIOSOMA AU KUFANYA KAZI TANGA SCHOOL.

TANGAZO LA MKUTANO WA WANAFUNZI NA WATUMISHI WALIOSOMA AU KUFANYA KAZI TANGA SCHOOL.
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu Chiku Gallawa,anawakaribisha Wanafunzi na Watumishi wote, waliosoma au kufanya kazi"Tanga School", pamoja na Wadau wengine walioko Mkoani Tanga na Mikoa ya Jirani, katika kikao cha pamoja, kitakachofanyika siku ya Jumamosi tarehe 15.03.2014 kuanzia saa 3:00 asubuhi, katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Tanga Ufundi ("Tanga School"). "Tanga School" ilianzishwa mwaka 1895, na ndiyo Shule ya kwanza ya Sekondari ya Serikali Tanzania.
Tafadhali fika bila kukosa, kwa Maendeleo ya "Tanga School".

KARIBUNI WOTE NA KARIBUNI SANA.

TANGAZO HILI, LIMETOLEWA NA KAMATI YA MAANDALIZI.




Written by

0 comments: