Uzinduzi Duka La Vodacom jijini Tanga
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa akikata utepe wakati wa ufunguzi wa duka
jipya la Vodacom lililopo barabara ya tatu jijini Tanga. Kulia ni Upendo
Richard , Mkuu wa Idara ya Mauzo rejareja wa Vodacom na kushoto ni Bw. Salum
Mwalim, Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom
Mhe. Gallawa akiteta jambo na uongozi wa duka hilo mara baada ya mapokezi
0 comments: