Zoezi la Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Wilayani Mkinga, Wiki Ya Maazimisho ya Serikali Za Mitaa Mkoani Tanga
Meneja wa Mkoa wa Shirika la nyumba la Taifa, Isaya
Mshamba akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Halmashauri ya
Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo
wilayani humo jana, kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkinga, Mboni Mgaza
Meneja wa Mkoa wa Shirika la Nyumba la Taifa
(NHC), Issaya Mshamba akiwaonyesha kamati ya wiki za Serikali za mitaa ujenzi
wa nyumba za watumishi wa halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga wakati
ilipofanya ziara ya kuangalia miradi ya maendeleo Wilayani humo jana
Kamati ya wiki ya Serikali za mitaa ikipatiwa
maelekezo ya mradi wa kituo cha ukaguzi (one stop border) kilichopo mpakani
Horohoro na Mombasa wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Wilayani
Mkinga Mkoani Tanga jana
0 comments: