Ratiba ya Kufunga Mashindano Ya Gallawa Cup



 
RATIBA YA UFUNGAJI WA GALLAWA CUP
TAREHE 01/07/2014

NA.
TUKIO
MUDA
MHUSIKA
1
Wanamichezo kujipanga uwanjani
09:30 Alasiri
A/Michezo
2
Wageni waalikwa kuingia uwanjani
09:45 Alasiri
Kuu Mkoa na DC wote
3
Mgeni Rasmi kuingia uwanjani na kukagua timu
09:50 Jioni
MC
4
Mchezo wa fainali kuanza
10:00 – 11:20 Jioni
Wanamichezo
5
Utambulisho
11:30 Jioni
DC - Tanga
6
Maelezo mafupi kuhusiana na mashindano
11:35 Jioni
A/Michezo
7
Hotuba ya Mgeni Rasmi
11:35 – 11:45 Jioni
Mhe. RC
8
Kukabidhi zawadi kwa washindi na kufunga
11:45 – 12:00 Jioni
·        Mgeni Rasmi
·        Wote





Written by

0 comments: