DC Tanga Achangia Viti Na Meza Kituo Cha Mahabusi Ya Watoto Jijini Tanga
Mhe. Halima Dendego, Mkuu wa Wilaya ya Tanga akikabidhi
zawadi za Iddi kwa Bi. Claire M.Kibanga ,Afisa Mfawidhi Mahabusu ya Watoto
jijini Tanga ambazo zimetolewa na Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete , Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dendego amechangia viti 10 na meza 10 katika
kutatua uhaba wa viti na meza kituoni hapo.
Bi.
Claire M. Kibanga, Afisa Mfawidhi Mahabusu ya Watoto akimkabidhi Mhe. Halima
Dendego taarifa ya maendeleo ya kituo
0 comments: