Maadhimisho ya Siku Ya Mashujaa Mkoani Tanga
Mhe. Mboni Mgaza , Mkuu wa Wilaya ya Mkinga
akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga kuweka Mkuki na Ngao kwenye Mnara wa
kumbukumbu ya mashujaa wakati wa Maadhimisho ya kilele cha siku ya mashujaa
ambayo imefanyika Mkoani Tanga Juni 25, 2014 katika viwanja vya Uhuru park
Jijini Tanga
Mshauri wa Mgambo Mkoa wa Tanga Col. G.M Kamala
akiweka Sime
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Constantine Masawe
akiweka Upinde
Mhe. Omari Guledi ,
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga akiweka shada la Maua
Kiongozi wa Askari
aliyepigana vita ya kwanza na ya pili ya dunia na Kagera Bw. Francis Benado akiweka Shoka
0 comments: